Mwaka mpya wa shule unapo anza, mjadala umeibuka tena kuhusu miaka yakuanza shule kitaifa.
Kwa sasa hakuna umri halisi wakuanza shule kote nchini Australia na, baadhi ya wataalam wanaamini matokeo ya elimu yanaweza imarishwa kama kuna umri wakuanza masomo.
Share






