Je! wakenya wanao ishi Australia wanamkumbukaje hayati Kibaki?

Rais Mwai Kibaki wa Kenya, awapungia mkono raia baada ya sherehe yakitaifa

Rais Mwai Kibaki wa Kenya, awapungia mkono raia baada ya sherehe yakitaifa Source: AAP Image

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, amekabiliana na jukumu nzito lakusimamia ibada zakuwaaga marais wastaafu wawili ndani ya muda mfupi.


Ibada ya rais mstaafu hayati Mwai Kibaki, ilipokuwa ikiendelea mjini Nairobi, wakenya wanao ishi Australia walikuwa waki ifuatilia kwa karibu nakutafakari maisha yalivyo kuwa chini ya uongozi wa rais huyo wa tatu wa Kenya.

Familia ya Bw Birgen ilichangia maoni yao kuhusu jinsi hali ya maisha ilivyokuwa nchini Kenya, chini ya uongozi wa hayati Mwai Kibaki.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Je! wakenya wanao ishi Australia wanamkumbukaje hayati Kibaki? | SBS Swahili