Jinsi mizio inavyo dhibitiwa katika shule za Australia

Baadhi ya vyakula ambavyo husababisha mzio Australia

Baadhi ya vyakula ambavyo husababisha mzio Australia Source: Getty / Getty Images

Australia ina moja ya viwango vya juu zaidi vya mzio wa chakula duniani.


Kulingana na mamlaka ya chakula ya New South Wales, mzio wa chakula kwa sasa hu athiri mtoto mmoja kati ya watoto kumi, na takriban watu wazima wawili kati ya watu wazima 100 nchini Australia.


Kuwatuma watoto wenye mizio pamoja na anaphylaxis shuleni, kuna weza zua wasiwasi kwa wazazi wengi haswa wale ambao ni wageni nchini Australia, na huenda hawana uelewa wa mifumo na miongozo iliyopo.


Kuwatuma watoto wenye mzio shuleni kuna weza zua wasiwasi kwa wazazi, ila kuwa na mawasiliano fanisi situ na mtoto wako ila pia, na shule inaweza kuwa mhimu kutoa elimu na uelewa wa mzio.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service