Ila, hiyo ni sehemu ya hadithi tu. Kuzungumza kuhusu pombe nchini Australia, kuna maanisha kutazama pia madhara makubwa ambayo inaweza sababisha kwa watu binafsi pamoja na familia.
Ina husu kuelewa sheria ngumu zinazo dhibiti pombe, kuanzia jinsi inavyo uzwa nakusambazwa hadi ambako na lini inaweza tumiwa.
Katika makala ya leo ya Australia Yafafanuliwa, tuta chambua utamaduni wa kunywa wa Australia na sheria zinazo iunda.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.