Wiki ya maridhiano yakitaifa, ni wakati wa waAustralia wote kujifunza kuhusu historia zetu tunazo changia, tamaduni, mafanikio pamoja nakuchangia katika maridhiano kwakujenga mahusiano bora na watu wajamii zawa Aboriginal na wanavisa wa Torres Strait.
Mandhari ya mwaka huu ni Zaidi ya neno. Maridhiano yanahitaji hatua Katika makala haya ya mwongozo wa makazi, tuta tazama jinsi wahamiaji wanaweza chukua hatua kuelekea kwa maridhiano.
Unaweza pata rasilimali kuhusu wiki yakitaifa yamaridhiano, kwenye tovuti ya Reconciliation Australia0: www.reconciliation.org.au.
Unaweza pata Mwongozo wa ushiriki wa shirika la FECCA, kwenye tovuti yao: fecca.org.au
Share






