Jinsi yakujiandaa kufanya mtihani wa uraia wa Australia

An Australian citizenship

An Australian citizenship recipient holds his certificate during a citizenship ceremony on Australia Day Source: AAP

Kuwa raia wa Australia ni uzoefu wa kusisimua na wenye zawadi kwa wahamiaji wengi.  


Ila kabla uwe raia, lazima upite "Mtihani wa Uraia wa Australia".  Mtihani huo hupima uelewa wako wa historia, tamaduni, maadili na mfumo wakisiasa wa Australia.

Katika makala haya ya Australia ya fafanuliwa, tuta kupa vidokezo pamoja na ushauri wakitaalam ambao utakusaidia kujiandaa kufanya mtihani wa uraia wa Australia.

Australia ni taifa lenye tamaduni mbalimbali, ambako zaidi ya vizazi 270 vinawakilishwa. Ni nchi ambayo ina fahari yakuwa na moja ya tamaduni kongwe zaidi inayo endelea, na imekaribisha takriban wahamiaji milioni saba tangu 1945. 

Kuna njia kadhaa zaku wasilisha ombi la uraia wa Australia. Unastahili timiza vigezo maalum kabla yakuwasilisha ombi lako. 'conferral' na 'descent' ni moja ya njia za kawaida zaku omba uraia.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service