SKIP TO MAIN CONTENT

Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza

Mh Dkt Jackson Kosgei akitoa hotuba.jpg

Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Mh Dkt Kosgei ni miongoni mwa wabunge wanao ishi na ulemavu.

Katika mazungumzo na SBS Swahili, alifunguka kuhusu alivyo pata ulemavu na wakati alikubali kuwa ulemavu si kutoweza.

Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now