Jinsi yakujiandikisha kupiga kura

Wapiga kura wapiga foleni, nje ya kituo chakupigia kura.

Wapiga kura wapiga foleni, nje ya kituo chakupigia kura. Source: AEC

Uchaguzi mkuu unatarajiwa kuwa mwisho wa Mei, kuna hatua lazima uchukue kabla upige kura yako kwa mara ya kwanza.


Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kujisajili kupiga kura, nakuwa na usemi wako wakuunda nchi yetu.

Uchaguzi wa shirikisho ni fursa yakuwa na usemi wako kwakupiga kura kuchagua serikali ya Australia. Zoezi hilo hufanyika takriban kila miaka tatu. Hatakama ni lazima kupiga kura kwa wa Australia wengi, lazima utazame kwanza ustahiki wako.

Tembelea tovuti ya aec.gov.au kujisajili kwa muda, kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho wa 2022.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service