Jinsi yakupata matibabu kwa bei nafuu nchini Australia

Raia wa Australia, wakaazi wakudumu na wakimbizi wanaweza pata matibabu bure au kwa bei nafuu pamoja na madawa, kwa kujisajili katika mfumo wa Medicare, ambao ni mfumo wa huduma ya afya kwa wote.


Katika makala ya leo tutachunguza baadhi ya faida na vipengele vya mfumo wa Medicare, na jinsi unavyo tumika pamoja na Mpango wa Faida za Dawa kutoa punguzo nyingi.

Medicare hutoa ruzuku kwa huduma nyingi mhimu zamatibabu, zinazo jumuisha kumwona daktari, vipimo vya damu, scans, x-rays, na baadhi ya upasuaji. Mfumo huo hufunika pia vipimo vya macho vya kila mwaka kwa daktari wa macho, pamoja na chanjo za watoto.

Medicare hufanya kazi pamoja na mpango wa faida za dawa au (PBS), ambao hutoa punguzo kwa dawa ambazo daktari ameshauri zitumiwe.



Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Jinsi yakupata matibabu kwa bei nafuu nchini Australia | SBS Swahili