Jinsi yakupata viza yamakazi yakudumu Australia haraka

Visa ya Australia

Visa ya Australia Source: SBS

Kama una ujuzi wakipekee katika sekta ambazo serikali inalenga, unaweza pata viza ya makazi yakudumu nchini Australia ndani ya muda wa miezi michache.


Mradi wa Global Talent Independent Visa, ni mradi wa viza ambayo imetengwa kwa watu wenye maarifa na ujuzi zaidi kote duniani, na nimoja ya viza inayotafutwa sana kwa makazi yakudumu nchini.

Kuanzia julai mosi 2020 hadi tarehe 8 januaria, idara ya maswala ya nyumbani ilipokea jumla ya nia zamaombi elfu saba mianne na sitini na saba, kwa mradi huo wa Global Talent Initiative Program.Katika wakati huo, raia wa Iran walipokea mialiko mingi zaidi ambayo ilikuwa ni 277, wakifuatwa na raia wa India ambao walikuwa (174), raia wa Bangladesh walikuwa(166), raia wa China walikuwa (133) na raia wa Uingereza walikuwa (103).

Kwa taarifa zaidi kwa jinsi unaweza omba viza chini ya mradi wa Global Talent Independent Program, tembelea tovuti ya idara yamambo ya ndani. Anwani yao ni: www.homeaffairs.gov.au/


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service