African Union President and President of Congo Democratic Republic Felix Tshisekedi Credit: EPA/LUDOVIC MARIN / POOL MAXPPP OUT/AAP Image
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, ameongoza kumbukumbuku ya mauaji ya GENOCOST jijini Kinshasa, inayofanyika kila tarehe 2 mwezi Agosti.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, ameongoza kumbukumbuku ya mauaji ya GENOCOST jijini Kinshasa, inayofanyika kila tarehe 2 mwezi Agosti.
Rais Tshisekedi kwa mara nyingine ameishtumu Rwanda na waasi wa AFC/M23, kwa kuendeleza vita katika nchi yake, ambavyo kwa miaka thelathini iliyopita, vimesababisha vifo vya mamilioni ya watu.