Jinsi yakusaidia watoto wako kukabiliana na janga

Binti ajifunza mtandaoni na wenzake

Binti ajifunza mtandaoni na wenzake Source: Getty Images

Kurudi kwenye maisha ya kawaida ya shule inaweza kuwa wakati wa kusisimua au wasiwasi kwa watoto baada ya likizo za majira ya joto.


Hapa kuna vidokezo kwa wazazi kusaidia watoto wao kuingia katika mwaka mpya wa shule. Kwa taarifa na ushauri wa hivi karibuni wa serikali ya Australia juu ya COVID-19, tembelea www.australia.gov.au

Piga simu kwa Nambari ya Msaada ya Kitaifa ya Virusi vya Corona kwa nambari 1800 020 080 kwa taarifa zaidi juu ya virusi vya corona. Kwa usaidizi wa karibu unaolenga watoto na vijana walio chini ya umri wa miaka 25, piga simu kwa shirika la Kids Helpline kupitia namba 1800 55 1800.

Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, piga simu kwa huduma ya kitaifa ya kutafsiri na ukalimani kwa 13 14 50 na uombe huduma unayohitaji.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Jinsi yakusaidia watoto wako kukabiliana na janga | SBS Swahili