Jinsi yakuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Australia wa kwanza

Mwanamke kutoka jamii yawa Aboriginal, Jordan O'Davis akiwa na kundi la densi la Buja Buja katika sherehe ya asubuhi yakiasili ya Wugulora, kama sehemu ya siku kuu ya Australia mjini Sydney, Australia

Mwanamke kutoka jamii yawa Aboriginal, Jordan O'Davis akiwa na kundi la densi la Buja Buja katika sherehe ya asubuhi yakiasili ya Wugulora, kama sehemu ya siku Source: AAP

Kuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wanavisiswa wa Torres Strait, ni hatua mhimu yakuelewa nakuheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunamo ishi.


Makala haya ya mwongozo wa makazi, ni utangulizi kwa baadhi ya kanuni mhimu ambazo zinaweza shawishi tabia yetu, nakuheshimu maarifa na hadhi yakipekee yawa Australia wakwanza.

Itifaki za kitamaduni asilia zinatokana na kanuni za kimaadili zinazo unda mahusiano yetu yakikazi nakibinafsi nawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait.

Ni mhimu kutunza mahusiano haya kwasababu, wao ndiwo wa Australia wa kwanza. Wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, wana ujuzi wa ndani wa ardhi, na wanaweza tufunza mengi kuhusu jinsi yakujali mazingira yetu.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Jinsi yakuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Australia wa kwanza | SBS Swahili