Joyce ajiuzulu kama Naibu Waziri Mkuu

Naibu waziri mkuu Barnaby Joyce atangaza kuwa ame jiuzulu

Naibu waziri mkuu Barnaby Joyce atangaza kuwa ame jiuzulu Source: AAP

Kiongozi wa upinzani Bill Shorten ame omba mageuzi ya fanyiwe kwa mchakato waku chagua naibu waziri mkuu katika serikali ya mseto.


Wito huo umejiri baada ya ongezeko wa uvumi kuwa Barnaby Joyce ata jiuzulu toka wadhifa huo.

Bw Joyce ame tangaza kuwa ata jiuzulu kama kiongozi wa chama cha Nationals Jumatatu tarehe 26 Januari 2018, tangazo hilo lime fungua njia kwa uchaguzi wa naibu waziri mkuu mpya.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service