Wakati huo huo nchini Australia, vijana kutoka jamii yawakenya wame andaa mechi yaku hamasisha amani katika uchaguzi mkuu. Mechi hiyo itafuatwa na ibada maalum ya maombi pamoja na viburudisho.
Tukio hilo litakuwa tarehe 6 Agosti 2017 katika uwanja wa: Jones Park, 35 Banks Street, Mays Hill, NSW 2145.




