Kikomo kipya kwenye visa maarufu ya wahitimu kina waacha wanafunzi wengi wakimataifa wa PhD nchini Australia waki kabiliwa na siku za usoni zisizo na uhakika.
Wengi wanasema watalazimishwa kuondoka nchini kwa sababu ya mageuzi yanayo tarajiwa kufanywa kwa visa ya muda ya wahitimu nambari 485.
Wanafunzi wa shahada ya P-H-D wanasema wana achwa katika hali mbaya, wakati mageuzi kwa viza maarufu ya muda ya wahitimu, yanatarajiwa kuanza kutekelezwa nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






