Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"

Koffi Olomide akutana na wanyama wa Australia.jpg

Mfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.


Ziara hiyo itampeleka katika miji mikubwa yamajimbo ya Australia ambako maelfu ya wapenzi wa muziki wake wanamsuburi kwa hamu.

Bw Isaac Kisimba ni Naibu Rais wa Jumuiya yawatu kutoka DR Congo wanao ishi mjini Sydney, Australia. Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili alifunguka kuhusu ujio wa Bw Koffi nchini Australia na matarajio ya mapokezi yake mjini Sydney.

Mamia yawana jumuiya wata jumuika katika ukumbi wa Replay Lounge,1/462 Chapel Rd, Bankstown NSW 2200 kwa bonge la tamasha. Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now