Ndege, popo, possums, mijusi, wanyama wenye manyoya na bui bui, nchini Australia kuna ina tofauti ya wanyamapori ambao wanaweza ruka, tambaaa, tembea au kuteleza kwenye ardhi.
Kujua cha kufanya kuhusu uwepo wa wanyamapori ndani ya nyumba yako au katika mali yako ni muhimu, kusaidia kuwalinda wanyama pori wetu na pia kulinda usalama wako na wafamilia yako pamoja na mifugo yako.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.
Una swali lolote au wazo la mada?
Tutumie barua pepe kwa: australiaexplained@sbs.com.au
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.