Kiwango cha tisho la ugaidi cha Australia kime ongezwa kwa mara ya kwanza katika muongo.
Shirika la ujasusi la taifa limesema hayo ni matokeo ya anuai ya itakadi kali pamoja na ongezeko la vurugu zinazo chochewa na siasa.
Kuna ongezeko ya hofu ya misimamo mikali na itikadi zakidini kote duniani.
Ila, serikali ya Australia sasa inasema hali hiyo imefikia kiwango chako hatarisha usalama wa taifa.





