Wanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.
Mwenyekiti wa jumuiya hiyo Bw Justin Njuguna, alifunguka katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, kuhusu lengo na mapokezi ya tamasha ya Tamaduni Day.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






