Kurudi kwenye maisha ya kawaida ya shule inaweza kuwa wakati wa kusisimua au wasiwasi kwa watoto baada ya likizo za majira ya joto.
Hapa kuna vidokezo kwa wazazi kusaidia watoto wao kuingia katika mwaka mpya wa shule.
Bonyeza kiunganishi hicho kupata uchambuzi kamili toka kwa Mtayarishaji wetu Frank Mtao.
Share






