Kuwa salama wakati wa uvuvi kwenye miamba

Wimbi la gonga mwamba baharini karibu ya wavuvi

Wimbi la gonga mwamba baharini karibu ya wavuvi Source: Getty Images

Uvuvi wa miambani ni shughuli maarufu hapa Australia, na wavuvi zaidi ya milioni wanapanda miamba kuvua samaki wao kila mwaka.


Lakini kutokujua hali ya mazingira kunaweza kumuweka mtu kwenye hatari kubwa ya kuumia au hata kifo, na kuifanya hii iwe hatari zaidi.

Kwa vidokezo salama juu ya uvuvi wa miamba, angalia tovuti hizi: Recreational Fishing Alliance of NSW Surf Life Saving Bureau of Meteorology

RFA pia inapendekeza wavuvi kupakua Programu ya Dharura ya Australia na kutumia wakati wa matatizo, au piga simu namba 000 kwenye simu yako ya mkononi, na ueleze eneo lako halisi au vile vile shirikisha vielelezo vya GPS kupata msaada.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Kuwa salama wakati wa uvuvi kwenye miamba | SBS Swahili