Kwa nini kujiunga na mchezo wa jumuia kunaweza kuwa jambo bora zaidi ulilowahi fanya

Wanachama wa Melbourne Social Soccer Inc wajumuika katika picha

Credit: Provided by MSS

Shughuli ya kimwili ya mara kwa mara ni muhimu kwa ustawi mzuri wakimwili na afya ya akili. Nchini Australia kuna fursa zakushiriki katika shughuli za michezo katika kila kiwango.


SG COMMUNITY SPORTSMichezo ya jamii sio rasmi na inajumuisha na, manufaa kwa wahamiaji wapya nchini yanaweza shangaza.

Ni mhimu kwa ustawi wa kila mtu kuendelea kushiriki katika shughuli tofauti, bila kujali kama wewe ni kijana au mzee. Ila ukubwa na kiasi cha shughuli hutofautiana kulingana na umri pamoja na hali yakimwili. Zungumza na mtaalam wa huduma ya afya, kabla yakuanza mazoezi mapya.

Kwa taarifa zaidi kuhusu jinsi yakupata klabu karibu yako, tembelea tovuti ya The Australian Sports Commission: sportaus.gov.au


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Kwa nini kujiunga na mchezo wa jumuia kunaweza kuwa jambo bora zaidi ulilowahi fanya | SBS Swahili