Mweka hazina Jim Chalmers ame ahidi kunacho zingatiwa hakiwezekani: kuregeza shinikizo kwa bajeti za nyumba ila wakati huo huo kulazimisha mfumuko wa bei ushuke.
Weka hazina wa shirikisho mara nyingi hutaja picha kubwa, kuwasaidia kuuza ukweli usio pendeza.
Ila maono ya muda mrefu ya mweka hazina Jim Chalmers, ni kubwa zaidi ya wengine alipotoa bajeti ya mwaka huu. Alisema itasaidia kila mtu katika siku za usoni.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.