Mawakili wameomba mahakama hiyo ifutilie mbali uamuzi wamahakama kuu, uliosema sheria na katiba haziku fuatiliwa, pale mchakato wa BBI ulipozinduliwa na Rais Kenyatta na Bw Odinga.
Mahakama kuamua hatma ya mchakato wa BBI nchini Kenya

Raila Odinga na Rais Uhuru Kenyatta wakiwa na ripoti ya BBI Source: PSCU
Mahakama ya rufaa nchini Kenya imeamuru mchakato wakubadili katika wa BBI isikizwe 2 Juni 2021, wahusika wote katika kesi hiyo wakitakiwa kufika mahakamani.
Share