SKIP TO MAIN CONTENT

Makala Leo:Mabadiliko ya NDIS yatakuathiri vipi?

Australian Health Minister Mark Butler addresses the media about NDIS legislation - AAP
Australian Health Minister Mark Butler addresses the media about NDIS legislation - AAP Source: AAP / LUKAS COCH/AAPIMAGE

Mamia ya maelfu ya watu watapoteza msaada kutoka NDIS, baada ya mabadiliko yanayolenga kupunguza ukuaji katika mpango huo kupitishwa ndani ya Seneti kwa uungwaji mkono wa Upinzani wa Mseto usiku wakuamkia.


Published

By Tee Mitchell

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Mamia ya maelfu ya watu watapoteza msaada kutoka NDIS, baada ya mabadiliko yanayolenga kupunguza ukuaji katika mpango huo kupitishwa ndani ya Seneti kwa uungwaji mkono wa Upinzani wa Mseto usiku wakuamkia.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Mabadiliko hayo yalipingwa na chama cha Greens, baadhi ya wabunge huru, na watetezi wa ulemavu ambao wanasema mchakato huo uliharakishwa, na utasababisha madhara.

Zana muhimu ya tathmini inayosimamia mabadiliko hayo bado inatengenezwa, huku majimbo na wilaya zikijiandaa kuchukua jukumu kubwa la kutoa usaidizi.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now