Tangazo la kusitisha mapigano Mashariki ya Kati linaonekana kupunguza maumivu ya madereva katika vituo vya petroli, Iran ikikubali kuruhusu meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.
Lakini hata kama kusitisha mapigano kutadumu, kuna uwezekano kupunguzwa kwa bei ya petroli kutachukua muda, na usumbufu katika masoko ya kimataifa unaweza dumu kwa muda mrefu.
Serikali inahimiza tena utulivu, ikisema usambazaji wa mafuta uko salama hadi Mei, na inafanya kazi ya kuongeza usambazaji kutoka kwa washirika wayo wa kimataifa.
Polisi katika mamlaka mbalimbali wanaonya kuhusu ongezeko kubwa la wizi wa mafuta wakati mgogoro wa mafuta ukizidi kupamba moto - lakini huenda bei ya mafuta ina karibia kupungua.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.






