Leader of the Opposition Angus Taylor delivers a speech to the Menzies Research Centre in Sydney, Tuesday, April 14, 2026 Source: AAP / DAN HIMBRECHTS/AAPIMAGE
Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto
Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto
Sera hiyo imezua ukosoaji mkubwa na kulaaniwa vikali na wakosoaji, ikiwa ni pamoja na vikundi vya haki za binadamu pamoja na chama cha Labor.
Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea mipango yake ya kuwaondoa wahamiaji nchini humu, kama hawataonyesha kile anachokielezea kama "maadili ya Australia".