Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Makala Leo: Waziri Mkuu Albanese aendeleza msukumo wake wakidiplomasia katika Pasifiki

Prime Minister Anthony Albanese at the newly built Naha Birthing and Urban Health Centre in Honiara, Solomon Islands, Tuesday, July 7, 2026.
Australia’s Prime Minister Anthony Albanese speaks to mothers and their babies at the newly built Naha Birthing and Urban Health Centre in Honiara, Solomon Islands, Tuesday, July 7, 2026. (AAP Image/Mick Tsikas) NO ARCHIVING Source: AAP / MICK TSIKAS/AAPIMAGE

Waziri Mkuu Anthony Albanese ameweka ratiba kabambe ya mkataba mpya kamili na Visiwa vya Solomon, akisema angependa kuuona ukikamilika mwishoni mwa mwaka huu.


Published

By Tee Mitchell

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Waziri Mkuu Anthony Albanese ameweka ratiba kabambe ya mkataba mpya kamili na Visiwa vya Solomon, akisema angependa kuuona ukikamilika mwishoni mwa mwaka huu.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Ni sehemu ya harakati za kidiplomasia katika eneo lote, kufuatia mikataba ya kihistoria na Fiji, PNG, Vanuatu na Indonesia.

Hili linakuja huku kukiwa na wasiwasi unaoongezeka kuhusu jukumu la China katika eneo hilo - uliosisitizwa wiki hii na mazoezi ya kijeshi.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now