Usalama unaendelea kuimarishwa katika miji mikubwa ya Tanzania, maafisa wa Polisi na Jeshi wenye silaha wakifanya doria.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Wakati huo huo Serikali imeonya kuwa itachukua hatua dhidi ya mtu yeyote atakaye hamasisha vurugu.
Maafisa hao wame onekana kwa wingi katika mizunguko ya barabara, hali ambayo wengi wanadai kutokuwa ya kawaida.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






