Mapambano yake mafupi na aina adimu sana ya saratani ya kizazi yali isha Jumamosi alasiri Machi 21 katika nchi yake aki zungukwa na familia yake.
Familia ya Rhoda Robert imetoa ruhusa kwa SBS kutangaza picha na sauti, ili kuheshimu na kusherehekea maisha yake na urithi wake wa kudumu.
Mwenyekiti wa SBS, Dkt. Nicholas Pappas AM amesema Rhoda Roberts aliongoza kwa uongozi jasiri, wenye maono, imani na hisia ya kina ya usimamizi wa kitamaduni ambayo imeacha alama ya kudumu katika maisha ya ubunifu na kitamaduni ya Australia. Ame ongezea kuwa mchango wake uliweka msingi wa utamaduni, uadilifu na kusudi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





