Moja ya mashirika makubwa yanayo toa huduma ya makazi kwa wakimbizi nchini Australia, inakabiliwa na changamoto yamakato kwa idadi ya wafanyakazi pamoja na uwekezaji, wakati idadi ya wateja wao inaendelea kupungua kwa sababu ya kufungwa kwa mipaka yakimataifa.
Kwa sasa kuna wasiwasi kuwa kufikia wakati ambapo, wakimbizi wataruhusiwa kuingia nchini tena, hapatakuwa uwezo wakutosha wakuwasaidia.
Vikwazo hivyo, vinaweza ongezeka kama uwezo wa huduma muhimu kwao, zina katwa.
Share






