Chama cha Labor kimeshinda muhula wa pili serikalini, katika uchaguzi wa jimbo la Magharibi Australia uliofanyika wikendi hii.
Mark McGowan ataendelea kuhudumu kama kiongozi wa jimbo hilo, baada yakumshinda kiongozi wa upinzani Zak Kirkup, na sasa mtazamo ume elekea kwa jinsi chama cha Liberal kinaweza fanya mageuzi.
Kiongozi wa chama cha Nationals Mia Davies, anatarajiwa kuwa kiongozi mpya wa upinzani wa Magharibi Australia.
Share






