Kama kawaida, mashabiki hao wali elekea katika uwanja wakiwa na matumaini makubwa, kwa jinsi timu yao itakavyo cheza katika michuano ya raga, ya wachezaji saba kila upande ya HSBC Sydney 7s ya 2020.
SBS Swahili ilihudhuria michuano hiyo nakuzungumza na baadhi ya mashabiki hao, katika uwanja wa Bankwest mjini Parramatta, New South Wales.





