Matt Gitau "wakati wakuongoza kulingana na katiba na matumaini yawa Kenya umefika"

Rais Rutto na Raila Odinga wakiwa pamoja na washirika wao, katika hafla ya kutia saini makubaliano ya kuchangia uongozi.jpg

Wakenya wana endelea kukabiliana na uongozi mpya wa mseto kati ya serikali ya Kenya Kwanza na chama kikuu cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM).


Vinara wa mseto huo Dkt William S Rutto na Raila Odinga, walitia saini makubaliano ya ushirikiano katika uongozi wa nchi hiyo ndani ya ukumbi wa KICC.

SBS Swahili ilizungumza na Bw Matt Gitau, mgombea mtarajiwa katika uchaguzi mkuu ujao wa 2027 nchini Kenya. Katika mazungumzo hayo alifunguka kuhusu baadhi ya maswala yauongozi ambayo yeye na wananchi wenzake wanataka yafanyiwe kazi.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Matt Gitau "wakati wakuongoza kulingana na katiba na matumaini yawa Kenya umefika" | SBS Swahili