Kenyan President William Ruto (R) next to the Speaker of the National Assembly of Kenya Moses Wetangula (L) delivers the State of Nation address at the Kenyan Parliament in Nairobi on November 9, 2023. Source: AFP / LUIS TATO/AFP via Getty Images
Viongozi wa makundi mbalimbali yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia wanajiandaa kukutana nawa bunge nama seneta kutoka Kenya.
Viongozi wa makundi mbalimbali yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia wanajiandaa kukutana nawa bunge nama seneta kutoka Kenya.
Bw Matt ni mmoja wa viongozi ambao wame alikwa katika kikao hicho, katika mazungumzo na SBS Swahili alitueleza baadhi ya hoja atakazo wasilisha kwa niaba ya wanajumuiya.