MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.
Published
Updated
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.
Katika mahojiano maalum na SBS Swahili, MCA Tricky alifunguka kuhusu alivyo ingia katika tasnia ya ucheshi.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.