Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Wafungwa hao wali achiwa huru kufuatia msamaha wa Rais Felix Tshisekedi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





