Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko

Wanajumuiya ya wakikuyu wanao ishi Melbourne katika tamasha ya utamaduni wa Kenya.jpg

Wakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 Novemba 2023.


Miongoni mwa makundi yatakayo shiriki katika tamasha la African Music Festival ni kundi la Mwomboko kutoka Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Melbourne.

Mmoja wa viongozi wa kundi hilo, Bi Maggie ali eleza SBS Swahili kuhusu maandalizi ya kundi lake pamoja na kile ambacho wapenzi wa miziki na tamaduni zaki Afrika wanastahili tarajia katika tamasha hiyo.

Kwa taarifa zaidi kuhusu kundi hilo tembelea tovuti hii: www.kcv.org.au

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service