Mgahawa wa Music & Food waleta ladha mpya Sydney, Australia

Maelfu wakumbushwa nyumbani kupitia vyakula vya ki Afrika kwenye tamasha ya Africultures.jpg

Walio hudhuria tamasha ya Africultures ya 2023, walikabiliawa kwa wakati mgumu wa kipi cha kuonja na kipi cha kupuuzwa.


Idadi ya migahawa iliyo kuwa iki uza vyakula iliongezeka maradufu mwaka huu, na hata mgahawa kama Muzik and Food kutoka Canberra, ACT nao uli kita kambi katika viwanja vya Sydney, Olympic Park kuwapa walio hudhuria hafla kionjo cha vyakula kutoka Botswana na Kenya.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, wamiliki wa mgahawa huo wali funguka kuhusu safari yao katika biashara yaku uza vyakula pamoja na mapokezi ya vyakula vyao kwenye tamasha hiyo.

Wateja wao nao pia wali changia hisia zao kuhusu vyakula walivyo nunua kwenye mgahawa huo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service