Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"

Mh John Paul Mwirigi katika studio za SBS.jpg

Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.


Yeye ndiye mwenye rekodi yakuwa na umri mdogo zaidi (23) kuchaguliwa kuwa mbunge katika historia ya kenya.

Mh Mwirigi alitembelea Studio za SBS Swahili baada yaku kamilisha majukumu yake katika kongamano la bunge za jumuiya zamadola mjini Sydney, Australia.

Alifunguka kuhusu maisha yake kabla ya kuwania ubunge katika eneo bunge lake la Igembe Kusini.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now