Milton Njanja ni mmoja wa viongozi katika jamii yawa Kenya wanao ishi Victoria. Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bw Njanja aliweka wazi jinsi wanaume na wavaluna mjini Melbourne, hupata huduma kutoka kwa wanaume wenye uzoefu zaidi ndani ya jamii yao.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.