Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'G.O.A.T' (Mchezaji Bora wa Wakati Wote).
GOAT labda umewahi sikia neno hilo kabla. Kwa kweli, GOAT (Mbuzi) ni mnyama mwenye pembe na ndevu. Lakini kwa Kiingereza, tunaposema mtu ni GOAT, tunamaanisha yeye ndiye Greatest Of All Time (Mchezaji Bora wa Wakati Wote), bora zaidi katika kile anachofanya.
Leo, utasikia neno hilo likitumiwa katika hali zote.
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.
Share






