Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use

WWU_S2_EP2_Keep your eye on the ball.png

In English, when we say keep your eye on the ball, we mean stay focused and pay attention to what’s important.

Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Keep your eye on the ball' (Kuwa makini).


Published

By Nick Pagano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Keep your eye on the ball' (Kuwa makini).


Keep your eye on the ball — labda umewahi sikia msemo huu hapo awali. Katika mchezo wa mpira wa miguu, wachezaji lazima waangalie mpira kwa uangalifu wakati wa mchezo. Lakini kwa Kiingereza, tunaposema weka keep your eye on the ball, tunamaanisha kuwa makini na zingatia yaliyo muhimu.

Leo, utasikia msemo huu ukitumiwa katika hali zote.

Watu hutumia msemo huu mara nyingi katika michezo, kuwakumbusha wachezaji waendelee kuwa makini:

  • Kuwa makini: usiache timu hiyo nyingine ifunge!

Makocha wa soka hutumia msemo huu pia, kuhamasisha timu yao:

  • Bado tunaweza shinda mechi hii. Kuweni makini na mzingatie!

Unaweza tumia msemo pia kwa mtoto nyumbani ambaye hayuko makini akifanya masomo yake nyumbani:

  • Unastahili soma swali kwa makini! Kuwa makini!

Watu hutumia msemo huu pia kazini wakati kazi muhimu inastahili malizwa:

  • Kuwa makini, hau stahili haribu ripoti hii!

Unaweza tumia msemo huu pia kuambia mtu unataka zingatia:

  • Usi ni sumbue, nataka kuwa makini hapa.

Chunguza mfululizo mzima wa Words we use kwa kubofya hapa kusikiliza!


Credits 

Host: Gode Migerano

Written by: Nick Pagano

Graphic design: Dory Wang

Educational consultant: Professor Lynda Yates

Produced by: Dory Wang


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now