Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

MiniPod: Man On! | Words we use

WWU_S2_EP3_Man on.png

'Man on!': in football, players use it to warn a teammate that another player is coming towards them. But in everyday English, it can also mean “watch out, someone is right behind you”.

Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Man On' (jihadhari).


Published

Updated

By Nick Pagano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Man On' (jihadhari).


Man on! Huu ni msemo ambao labda utasikia ukitamkwa kwa sauti kubwa. Katika soka, wachezaji hutumia msemo huu, kuwaonya wenzao kuwa mpinzani anamkaribia. Ila katika mazungumzo ya kila siku kwa Kiingereza, neno man on! linaweza maanisha pia “jihadhari” kuna mtu nyuma yako”.

Leo, utasikia msemo huu ukitumiwa katika hali zote.

Watu mara nyingi hutumia msemo huu, kuwaonya wenzao, kama mpinzani anawakaribia:

  • Man on! (Tahadhari!) Namba 10 yuko nyuma yako!

Wachezaji wakati mwingine hurudia msemo huo kwa sauti, kuhakikisha kila mtu anasikia onyo hilo:

  • Man on! Man on! Man on!

Hata kama msemo huu unatumia neno “mwanaume”, watu wa jinsia zote hutumia msemo huu:

  • Alisema kwa sauti “Man on!” kuonya wenzake wakati wa mechi.

Unaweza sikia msemo huo pia katika sehemu za shughuli nyingi kazini au, katika sehemu zilizo jaa watu kama vile katika migahawa:

  • Man on, Jenny! Nyuma yako!

Tumia msemo huo kutangaza kuwa uko karibu ya mtu. Kama uko katika baa, na unapeleka vinywaji katika meza yako, unaweza ambia watu ambao wako mbele yako: 

  • Man on! Nipishe!

Chunguza mfululizo mzima wa Words we use kwa kubofya hapa kusikiliza!


Credits 

Host: Gode Migerano

Written by: Nick Pagano

Graphic design: Dory Wang

Educational consultant: Professor Lynda Yates

Produced by: Dory Wang


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now