Janga la COVID-19 lime lazimisha biashara nyingi kufanya tathmini, kutengeza upya nakurekebisha jinsi zinavyo fanya kazi.
Mipangilio yakurahisisha jinsi watu wanafanya kazi ikitarajiwa kuwa swala la kawaida, waajiri watakuwa na fursa muhimu yakusimamia shughuli na ustawi wa wafanyakazi wao.
Kwa msaada wa lugha, pigia simu huduma yakitaifa ya utafsiri na ukalimani kwenye namba hii: 13 14 50.
Share






