Bunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.
Hata hivyo, vyama vya kisiasa na wananchi wana endelea kuhoji nakupinga mkataba huo.
Dr Annefrida kutoka shirika la Sauti yawa Tanzania, ali eleza SBS Swahili kwa nini wanapinga mkataba huo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share






