Mlipuko wa Volcano wasababisha maafa na uharibifu mkubwa Goma

Wakazi wakimbia volcano katika mlima Nyiragongo mjini Goma, Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo

Wakazi wakimbia volcano katika mlima Nyiragongo mjini Goma, Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo 22 Mei, 2021. Source: AAP, EPA

Mlipuko wa volkano katika jimbo la Kaskazani Kivu, Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo, ume wauwa watu 15, nakuharibu zaidi ya nyumba 500.


Mlipuko wa Mlima Nyiragongo ulizika mamia ya watu, ulipokuwa ukielekea katika mji wa Goma.

Moja ya volvano hatari sana duniani, ili lipuka Jumamosi 22 Mei 2021, nakugeuza anga katika maeneo hayo kuwa nyekundu.

Volkano hiyo ili lipuka mara ya mwisho mnamo mwaka wa 2002, naku uwa mamia yawatu nama elfu yawatu wakabaki bila makazi.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service