Mashabiki na viongozi wa timu ya Simba SC walikuwa na matumaini mengi ya timu yao kupata ushindi katika mechi hiyo, dhidi ya timu ambayo mshimu huu haijafanya vizuri katika mechi za nyumbani.
Hata hivyo, vijana wa Simba waliangukia pua katika mechi hiyo nakusalia wakijipa faraja katika kumbukumbu za historia zinazo onesha jinsi timu hiyo ilivyo jinusuru baada yakupata matokeo mabaya kama hayo.