Kiongozi wa jamii hiyo alipozungumza na idhaa ya Kiswahili ya SBS, aliweka wazi sababu zao kuandamana mbele ya bunge la taifa.
Moise:"Sisi ni wakongomani na hakuna kabila ambalo lita ondoa kabila lingine Congo"

Baadhi ya wanachama wa jamii yawanyamulenge waandamana nje ya bunge la taifa mjini Canberra Source: Banyamulenge NSW
Baadhi ya wanachama wa jamii yawanyamurenge wenye asili ya Kivu Kusini, katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, wanao ishi nchini Australia, waliandamana mbele ya bunge la taifa mjini Canberra.
Share